Hifadhi ya Taifa ya Boumba Bek
Mandhari
Hifadhi ya Taifa ya Boumba Bek ni mbuga ya taifa iliyoko kusini-mashariki mwa Kameruni.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Hifadhi hiyo haipitishwa bado, kulingana na mshauri wa kisayansi wa Mfuko wa Wanyamapori Ulimwenguni katika eneo hilo, Paul Robinson Ngnegueu, " uwindaji haramu ni tishio kubwa katika Boumba Bek." [1] Hayo ni matokeo ya mdororo wa kiuchumi wa mwishoni mwa miaka ya 1980 nchini Kamerun. [2] Wazawa walideuka majangili, kwa kuatfuta fursa za kifedha. [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Cameroon's Two New National Parks Shelter Forests, Wildlife", Environment News Service, 2005-10-17. Retrieved on 2008-08-28.
- ↑ 2.0 2.1 Ndameu, Benoit (Julai 2001). "Case Study 7: Cameroon-Boumba Bek" (PDF). Forest Peoples Programme. Moreton-in-Marsh. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2008-07-23. Iliwekwa mnamo 2008-09-09.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Boumba Bek kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |