Hifadhi ya Rumanyika-Karagwe
Mandhari
Hifadhi ya Rumanyika-Karagwe ipo katika mkoa wa Kagera, kaskazini magharibi mwa Tanzania[1].
Hifadhi hiyo ilianzishwa mnamo mwaka 2019 na ina ukubwa wa kilometa za mraba 247 katika wilaya za Karagwe na Kyerwa.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Rumanyika-Karagwe National Park" (PDF). Tanzania National parks. Iliwekwa mnamo 2023-08-01.
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Rumanyika-Karagwe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |