Nenda kwa yaliyomo

Eva

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Hawa)
Eva akiinama kula tunda, alivyochongwa na Gislebertus upande wa nje wa kanisa kuu la Autun, Ufaransa.

Eva ni jina la mwanamke wa kwanza kadiri ya Biblia. Maana yake inafikiriwa kuhusiana na uhai: mama wa walio hai.

Kanisa Katoliki linamheshimu kama mtakatifu tarehe 24 Desemba[1].

Umaarufu wake umeongezeka tena hivi karibuni, baada ya upimaji wa DNA ya mviringo kuthibitisha kwamba binadamu wote wanatokana na mama mmoja.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eva kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.