Handeni (mji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Handeni mjini)

Handeni ni mji katika Mkoa wa Tanga katika kaskazini-mashariki ya Tanzania na moja kati ya wilaya 10 za mkoa huu.

Handeni iko kwenye njiapanda ya barabara B127 Korogwe - Magole na Handeni - Kibaya - Kondoa kwa kimo cha mita 700 juu ya uwiano wa bahari. Ilikuwa tayari mji mdogo wakati wa ukoloni wa Kijerumani ilikuwa na ofisi mdogo wa mkoa wa Pangani, kituo cha posta na kituo cha polisi.[1] Hadi mwaka 2010 ilikuwa sehemu ya Wilaya ya Handeni na mwaka ule ikapewa halmashauri ya mji ya pekee.

Mwaka 2012 ilikuwa na wakazi 79,056 [2]


Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tovuti rasmi

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Handeni Mjini - Mkoa wa Tanga - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Chanika | Kideleko | Konje | Kwamagome | Kwediyamba | Kwenjugo | Mabanda | Malezi | Mdoe | Mlimani | Msasa | Vibaoni