Hamilton Dhlamini
Hamilton Dhlamini | |
Amezaliwa | Hamilton Dhlamini Desemba 15, 1969 Sebokeng |
---|---|
Nchi | Afrika kusini |
Majina mengine | Hamilton Dhlamini |
Kazi yake | Muigizaji |
Watoto | watatu (3) |
Mahusiano | Ameowa |
Hamilton Dhlamini (alizaliwa Desemba 15, 1969) ni mwigizaji wa Kiswahili wa filamu mwenye asili ya kiafrika, Mwandishi na mtengeneza filamu, Aliyejulikana sana kama mtengenezaji wa filamu na teleserials Isithembiso, Faith like Potatoes and The King's Messe
Maisha binafsi
[hariri | hariri chanzo]Alizaliwa mnamo Desemba 15 mwaka 1969 katika kijiji cha Sebokeng, kwenye familia yenye kipato cha hali ya chini nchini Afrika Kusini.[1] Amemwoa mtaalamu wa lishe Martha, ambapo wana watoto 3. Alikutana na Martha kwa mara ya kwanza kwenye lifti.
kazi
[hariri | hariri chanzo]Alianza kufanya kazi mapema mnamo mwaka 1984. pia aliigiza kama mfanya biashara wa kikorea katika SABC 1 sitcom Mzee Wa Two Six. mapema miaka ya 2008, alipewa jukumu la kuongoza filamu zenye mwendelezo mfupi katika SABC1, aliongozana na William Shakespeare’s ambaye aliigiza kama King Lear[2] Also, he played a lead character on the SABC 2 sitcom Stokvel with the role 'Mojo Khumalo'.[1] Mnamo 2008, aliigiza kwenye mfululizo wa filamu iliyojulikana kamaTen Bush iliongozwa na Mncedisi Shabangu. kwa majukumu, na hatimaye alipata tuzo Naledi Theatre Awards kwa kuwa mwongazaji mzuri wa filamu. badaye mnamo mwaka 2009, alishirikiana na William Kentridge pamoja na kampuni ya the Handspring Puppet na Woyzeck in the Highveld.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 "Hamilton Dlamini biography". briefly. Iliwekwa mnamo 27 Oktoba 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Bio". tvsa. Iliwekwa mnamo 27 Oktoba 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "HAMILTON DLAMINI". theheadandtheload. Iliwekwa mnamo 27 Oktoba 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hamilton Dhlamini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |