Gustaf Dalén
Mandhari
Nils Gustaf Dalén (30 Novemba 1869 – 9 Desemba 1937) alikuwa mhandisi kutoka nchi ya Sweden. Hasa alichunguza mambo ya gesi. Mwaka wa 1912 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gustaf Dalén kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |