GuiltyBeatz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ronald Banful, (alizaliwa Januari 17, 1990), anajulikana kwa jina lake la kisanii la GuiltyBeatz, ni DJ wa muziki nchini Ghana na mtayarishaji wa muziki. Alizaliwa huko Palermo, Italia, GuiltyBeatz alipata umaarufu wa kwanza kama mtayarishaji wa muziki baada ya kutayarishaji wimbo kama "Bad girl(msichana mbaya) ulioimbwa na Jesse Jagz pamoja na Wizkid na nyimbo nyingine nyingi. [1] [2][3][4][5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu GuiltyBeatz kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.