Gregoire Boonzaier

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gregoire Johannes Boonzaier OMSS ( 31 Julai 190922 Aprili 2005 ) alikuwa msanii wa nchini Afrika Kusini. Alikuwa mtetezi maarufu wa Cape Impressionism, mwanzilishi wa New Group, na mchangiaji, kupitia kazi zake za sanaa, katika mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi [1][2] .

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Gregoire Boonzaier alikuwa mtoto wa tano wa mchora katuni wa kisiasa Daniël Cornelis Boonzaier na binamu yake Maria Elizabeth Boonzaier. Mapema Gregoire alifahamiana na wasanii wengi kama vile Pieter Wenning, Nita Spilhaus, Moses Kottler na Anton van Wouw, ambao wote walikuwa marafiki wa karibu wa familia.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gregoire Boonzaier kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.