Gloria Steinem
Mandhari
Gloria Steinem | |
---|---|
| |
Alizaliwa | 25 Machi 1934 |
Nchi | Marekani |
Kazi yake | mwandishi wa habari |
Gloria Steinem (amezaliwa 25 Machi 1934) ni mwandishi wa habari za utetezi wa haki (masuala) za wanawake na mwanaharakati wa siasa jamii kutoka Marekani.[1]
Alitambuliwa kitaifa kama kiongozi na msemaji wa harakati za wanaharakati watetezi wa haki za wanawake kutoka Marekani American feminist movement mnamo 1960 mwishoni na mwanzoni mwa mwaka 1970.[2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.womenshistory.org/education-resources/biographies/gloria-steinem
- ↑ https://www.historynet.com/gloria-steinem
- ↑ http://www.encyclopedia.com/topic/Gloria_Steinem.aspx%7Ctitle=Gloria Steinem|encyclopedia=Encyclopedia of World Biography|date=2004|access-date=November 9, 2014|url-status=live|archive-url=https://web.archive.org/web/20141109172103/http://www.encyclopedia.com/topic/Gloria_Steinem.aspx%7Carchive-date%3DNovember 9, 2014|df=mdy-all}}
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gloria Steinem kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |