Gladys Amfobea

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Gladys Amfobea
Nchi Ghana
Kazi yake mwana soka

Gladys Amfobea (alizaliwa 1 Julai 1998) ni mwanasoka wa kimataifa wa Ghana ambaye anacheza kama beki kwenye timu ya taifa ya kandanda ya wanawake ya Ghana.Aliichezea timu ya Ghana kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake mnamo mwaka 2018 na kufunga bao moja katika mechi tatu alizocheza[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. G. Amfobea. Perform Group. Iliwekwa mnamo 16 June 2019.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gladys Amfobea kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.