Gimbi Dotto Masaba
Mandhari
Gimbi Dotto Masaba ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania Ilihifadhiwa 25 Januari 2020 kwenye Wayback Machine., iliangaliwa Mei 2017
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |