Gian Maria Volonté

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gian Maria Volonté

Gian Maria Volonté katika miaka yake ya mwisho
Amezaliwa 9 Aprili 1933
Italia
Amekufa 6 Desemba 1994

Gian Maria Volonté (9 Aprili 19336 Desemba 1994) alikuwa mwigizaji wa filamu wa Kiitalia.

Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama adui mkubwa wa katika mkusanyiko wa filamu za mwongozaji Sergio Leone - A Fistful of Dollars (kacheza kama "Johnny Wels") na vilevile For a Few Dollars More.

Filamu alizocheza[hariri | hariri chanzo]

 • The Four Days of Naples (1962)
 • A Fistful of Dollars (1964) (credited as "Johnny Wels")
 • For a Few Dollars More (1965)
 • L'armata Brancaleone (1966)
 • Quien sabe? (also known as A Bullet for the General, 1966)
 • Faccia a faccia (1967)
 • A ciascuno il suo (1967)
 • Le Cercle rouge (1970)
 • Investigation of a Citizen Above Suspicion (1970)
 • Sacco e Vanzetti (1971)
 • Sbatti il mostro in prima pagina (1972)
 • The Working Class Goes to Heaven (1972)
 • The Mattei Affair (Il Caso Mattei, 1972)
 • Lucky Luciano (1973)
 • Giordano Bruno (1973)
 • Todo modo (1976)
 • Christ Stopped at Eboli (1979)
 • Operación Ogro (1979)
 • Il caso Moro (1986)
 • Cronaca di una morte annunciata (1987)
 • Un ragazzo di Calabria (1987)
 • L'opera al nero (1988)
 • Funes, un gran amor (1993)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gian Maria Volonté kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.