Gerson Hosea Malangalila Lwenge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gerson Hosea Malangalila Lwenge (alizaliwa tarehe 20 Februari 1951) ni mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania na ni mbunge wa jimbo la Njombe magharibi tangu mwaka 2010.[1]

Amechaguliwa kuwa mbunge wa Wanging'ombe kwa miaka 20152020. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Member of Parliament CV. Parliament of Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-03-21. Iliwekwa mnamo 24 February 2013.
  2. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017