Georges Lemaitre

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Utanuzi wa ulimwengu.

Georges Henri Joseph Édouard Lemaître [1] (French: [ʒɔʁʒə ləmɛtʁ] ( listen); 17 Julai 189420 Juni 1966) alikuwa padri, mwanaastronomia na profesa wa fizikia katika Chuo Kikuu Katoliki cha Leuven nchini Ubelgiji.[2]

Alikuwa mtaalamu wa kwanza aliyependekeza kwamba ulimwengu unapanuka na chanzo chake kilikuwa katika nafasi ndogo sana iliyopanuka ikiendelea kupanuka hadi leo. Aliita hali ya mwanzo "atomu asilia" (ing. primeval atom) ambamo nishati na masi yote ya ulimwengu zilikuwepo tayari.

Hivyo aliweka msingi wa nadharia ya mlipuko mkuu[3]. Aligundua pia kanuni zilizotangazwa miaka miwili baadaye na Edwin Hubble na kujulikana kama "Kanuni za Hubble" (Hubble's law na Hubble constant)[4][5][6][7][8][9]).

Maandishi yake

  • G. Lemaître, Discussion sur l'évolution de l'univers, 1933
  • G. Lemaître, L'Hypothèse de l'atome primitif, 1946
  • G. Lemaître, The Primeval Atom - an Essay on Cosmogony, D. Van Nostrand Co, 1950.
  • Lemaître, G. (1931). "The Evolution of the Universe: Discussion". Nature 128 (3234): 699–701. doi:10.1038/128704a0
     .
(Translated in: "A Homogeneous Universe of Constant Mass and Growing Radius Accounting for the Radial Velocity of Extragalactic Nebulae". Monthly Notices of the Royal Astronomical Society 91: 483–490. 1931. doi:10.1093/mnras/91.5.483
     .)
     . http://www.nature.com/nature/journal/v127/n3210/abs/127706b0.html. Retrieved 2012-02-28.

Tanbihi

Marejeo

Marejeo mengine

  • Berenda, Carlton W (1951). "Notes on Lemaître's Cosmogony". The Journal of Philosophy 48 (10).
  • Berger, A.L., editor, The Big Bang and Georges Lemaître: Proceedings of a Symposium in honour of G. Lemaître fifty years after his initiation of Big-Bang Cosmology, Louvain-Ia-Neuve, Belgium, 10–13 October 1983 (Springer, 2013).
  • Cevasco, George A (1954). "The Universe and Abbe Lemaitre". Irish Monthly 83 (969).
  • Godart, Odon & Heller, Michal (1985) Cosmology of Lemaître, Pachart Publishing House.
  • Farrell, John, The Day Without Yesterday: Lemaître, Einstein and the Birth of Modern Cosmology (Basic Books, 2005), ISBN 978-1560256601.
  • Lambert, Dominique, The Atom of the Universe: The Life and Work of Georges Lemaître (Copernicus Center Press, 2015), ISBN 978-8378860716.
  • McCrea, William H. (1970). "Cosmology Today: A Review of the State of the Science with Particular Emphasis on the Contributions of Georges Lemaître". American Scientist 58 (5).
  • Kragh, Helge (1970). "Georges Lemaître". In Gillispie, Charles. Dictionary of Scientific Biography. New York: Scribner & American Council of Learned Societies. pp. 542–543. ISBN 978-0-684-10114-9
      . http://www.u.arizona.edu/~aversa/scholastic/Dictionary%20of%20Scientific%20Biography/15.%20Lema%c3%aetre%20b.%201894%20(Kragh).pdf.
  • Turek, Jósef. Georges Lemaître and the Pontifical Academy of Sciences, Specola Vaticana, 1989.

Viungo vya nje

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.