Gandisha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Katika utarakilishi, gandisha (kwa Kiingereza: freeze au hang) ni programu inapoacha kuitikia ingizo. Kwa mfano, kiolesura michoro cha mtumiaji cha Windows kinapoacha kuitikia baobonye au kipanya za mtumiaji ni hali ya gandisha.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.