Nenda kwa yaliyomo

Gambino Akuboy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Muhammed Hakeem Mahoney (anajulikana pia kama Gambino Akuboy; alizaliwa nchini Gambia) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa muziki wa Afrobeats, mwigizaji na mwandishi wa skrini kutoka Gambia.

Kwa sasa anaishi Ufalme wa Muungano. Muhammed H. Mahoney anajulikana kwa uigizaji na uandishi wa hati za filamu, ameiandikia TV ya taifa ya Gambia . Mnamo 2016 alishinda tuzo ya Video bora ya muziki katika tuzo za Muziki za Wah Sa Halat [1] nchini Gambia na muziki wake huchezwa mara kwa mara kwenye redio ya BBC. [2] Muhammed H Mahoney pamoja na Ousman Jarju walianzisha RebelVZN, kampuni huru ya utengenezaji wa media titika, ambayo ilitoa filamu fupi kama vile MEBET.

  1. "'WMAGambia". WMAGambia FB (kwa American English). Iliwekwa mnamo 8 Septemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "On BBC UK". bbc.co.uk (kwa American English). Iliwekwa mnamo 8 Septemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gambino Akuboy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.