Gagauzia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bango linaloalika: "Karibu Gagauzia".

Gagauzia ni sehemu yenye haki ya kujitawala nchini Moldova ambayo uhuru wake kamili unachochewa na ukabila katika eneo la Wagagauz ambao ni watu wenye asili ya Kituruki lakini ni Wakristo Waorthodoksi.

Gagauzia ilipata uhuru wake mwaka 1990 kama Jamhuri ya Gagauzia lakini ikaunganishwa na Moldova mwaka 1994.[1] [2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Moldova mwaka 2014.
  2. Menz, Astrid. (2007). The Gagauz Between Christianity and Turkishness. 10.5771/9783956506925-123.
  3. Lipka, Michael (22 May 2022). 'Christian Turks' maneno yake.
Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gagauzia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.