Nenda kwa yaliyomo

GCompris

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
GCompris
Gcompris logo (2016).svg
Gcompris 0.61 screenshot.png
Mwandishi wa kwanzaBruno Coudoin
Wandishi wa sasaKDE, Timothée Giet and Johnny Jazeix
Tarehe ya kwanzaKigezo:Mwaka ya kuanza
ImeendeleaKigezo:Wikidata / Kigezo:Wikidata
Lugha kompyuta
Mfumo wa uendeshajiAndroid, BSD, Linux, macOS, Microsoft Windows
Mazingira ya kompyuta
LughaZaidi lugha 50
Aina ya programuProgrammu ya kusomesha watoto
Leseni ya programuUpya (Qt Quick):
Kutoka 1.1: AGPL-3.0-only
0.1 to 1.0: GPL-3.0-or-later
Legacy (GTK):
8.5 to 15.10: GPL-3.0-or-later
0.2.4? to 8.3.1: GPL-2.0-or-later
Tovutihttps://gcompris.net

GCompris ni mkusanyo wa michezo ya kufunza watoto wenye umri wa miaka 2 hadi 10.[1] GCompris ya kwanza iliandikwa na lugha C na Python na ilitumia GTK+, lakini kutoka mwaka 2014 imeandikwa tena na C++ na QML na inatumia Qt. GCompris ni programu huru na wazi na inatumia leseni ya AGPL-3.0-only.

Kwa lugha ya Kifaransa, jina GCompris likitamkwa J'ai compris [ʒekɔ̃ˈpʁi] linamaanisha "nimeelewa".

Inaweza tumika kwa Linux, BSD, macOS, Windows na Android.

Historia ya kuitengeneza

[hariri | hariri chanzo]
Timothée Giet, msanii na mprogrammu wa GCompris

Bruno Coudoin aliandika programmu ya kwanza mwaka wa 2000. Kutoka mwanzo ilikuwa programmu huru na wazi, na iliweza kuptaikana kutoka mtandao. Watengenezaji wanapenda programmu ya kusomesha inaweza kutumikana kwa Linux. Watu wameongeza sanaa na michezo kwa GCompris, na sasa kuna mitendaji zaidi ya 150.

  1. "Why Free Software makes sense in education". Express Computer. 6 Oktoba 2003. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 8 Agosti 2007. Iliwekwa mnamo 25 Julai 2007.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)