Fred Erentz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fred Erentz

Frederick Charles Erentz (Machi 1870 - 6 Aprili 1938) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu, ambaye alicheza kwenye timu ya Dundee Our Boys FC na Newton Heath miaka ya 1880, 1890 na mwanzoni mwa miaka ya 1900.

Maisha ya Awali[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa huko Broughty Ferry nchini Uskoti, baba yake alikua Mdenmark. Erentz alianza maisha yake ya mpira wa miguu na timu ya Dundee Our Boys F.C. kama beki wa nyuma.[1] Erentz alisajiliwa kwenye timu ya Newton Heath mnamo Juni mwaka 1892 na kuanza kujiandaa na msimu wao wa kwanza katika Ligi ya Soka.[1]Alicheza mechi yake ya kwanza na Newton Heath tarehe 3 Septemba mwaka 1892 ambayo walicheza na timu ya Blackburn Rovers F.C. .[2].

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Shury et al.; p.66
  2. Shury et al.; p.54