Frank B. Kellogg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Frank Kellogg

Frank Billings Kellogg (22 Desemba 185621 Desemba 1937) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Marekani. Kutoka 1925 hadi 1929 alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Hasa alijitahidi kutekeleza amani ya kimataifa. Mwaka wa 1929 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frank B. Kellogg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.