Nenda kwa yaliyomo

Francois Hollande

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hollande mwaka 2017.
Rais hollande pamoja na Barack Obama wakiwa kwenye ndege ya Air force 1.

François Gérard Georges Nicolas Hollande (alizaliwa Rouen, 12 Agosti 1954) alikuwa rais wa Ufaransa na mtawala mwenza wa Andorra kuanzia mwaka 2012 hadi 2017.

Alikua katika mji wa Neuilly-sur-Seine. Hollande alianza siasa baada ya kuwa mshauri wa Rais François Mitterrand, kabla ya kustaafu kwa Max Gallo, mzungumzaji wa serikali.

Alikuwa katibu mkuu wa chama cha Usoshalisti kuanzia mwaka 1997-2008, na meya wa Tulle kuanzia mwaka 2001-2008.

Hollande amelisaidia Taifa kwa kuboresha jimbo la Corŕeze kutoka mwaka 1988-1993 na kwa mara nyingine mwaka 1997 hadi 2012.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Francois Hollande kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.