Francisco Carrasco

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Francisco Carrasco.

Francisco José Carrasco (alizaliwa mnamo 6 Machi 1959) ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye alicheza kama mshambuliaji wa timu ya FC Barcelona, na sasa ni kocha wa timu ya FC Malaga.

Alicheza mpira wa miguu kwa miaka 14 katika timu ya Barcelona (misimu 11), alicheza na michezo zaidi ya 350 na kushinda mataji kumi. Aliisaidia Hispania kwa miaka tisa, Carrasco aliwakilisha nchi katika Kombe la Dunia la 1986 na michuano ya Ulaya mara mbili.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Francisco Carrasco kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.