Nenda kwa yaliyomo

Francis Nyenze

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Francis Mwanzia Nyenze (Juni 2, 1957 - Desemba 6, 2017) alikuwa mwanasiasa wa Kenya ambaye alihudumu kama mbunge wa jimbo la Kitui magharibi kuanzia 1997 hadi 2002 na 2013 hadi 2017.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nyenze loses battle with colon cancer - VIDEO". Iliwekwa mnamo Sep 10, 2019 – kutoka www.nation.co.ke.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Kenyanlife.com". Kenyanlife.com. 15 Aprili 2016. Iliwekwa mnamo 2019-09-10.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)