Francis J. Parater
Mandhari
Francis Joseph Parater (10 Oktoba 1897 – 7 Februari 1920) alikuwa frateri wa Kanisa Katoliki kutoka Dayosisi ya Richmond, Virginia, Marekani, aliyefariki kutokana na homa ya baridi yabisi akiwa na umri wa miaka 22 wakati wa masomo yake ya Teolojia huko Roma.
Mchakato wa kumtangaza mtakatifu ulianzishwa mwaka 2001.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Neill, Steve. "Diocese opens tribunal for Frank Parater's Cause for Sainthood", Diocese of Richmond. Retrieved on 2024-09-16. Archived from the original on 2009-01-08.
- ↑ "Servant of God Seminarian Frank Parater". Diocese of Arlington. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Desemba 20, 2016. Iliwekwa mnamo Novemba 8, 2006.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Servant of God, Francis J. Parater" (kwa Kiingereza). Diocese of Richmond. Iliwekwa mnamo Oktoba 22, 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |