Femtomita
Mandhari
(Elekezwa kutoka Femtometre)
Femtomita (ing. femtometer, alama fm[1][2][3]) ni kipimo cha SI cha kutaja urefo mdogo wa 10−15 mita.
Kipimo hiki hutumiwa kwa kutaja vipimo katika fizikia ya atomi na chembe zake.
Kipenyo cha protoni ni takiban femtomita 1.7 [4]. Kipenyo cha kiini cha atomi cha dhahabu ni takriban femtomita 8.45.
Neno latokana na lugha ya (Kidenmark: femten (kumi na tano). Umbali huu unaweza pia kuitwa fermi kwa heshima ya mwanafizikia Enrico Fermi.
Ulinganifu
[hariri | hariri chanzo]femtomita 1 = 1.0 x 10−15 mita = 1 fermi = 0.001 pikomita = 1000 attomita
1,000,000 femtomita = 1 nanomita = 10 Ångström.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-23. Iliwekwa mnamo 2014-07-08.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-09. Iliwekwa mnamo 2014-07-08.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2012-04-25. Iliwekwa mnamo 2014-07-08.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-04-23. Iliwekwa mnamo 2014-07-08.