Fanicha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Fanicha katika picha.

Fanicha ni neno la kutaja aina ya vitu kama viti, meza na kabati.

Kwa maana nyingine, fanicha ni kama viti vilivyopo ndani ya nyumba na watu wanaweza kutumuia kwa kukalia, kulalia na vinginevyo vinavyotumiwa kwa kuwekea vitu vidogo kama nguo au vikombe. Fanicha huundwa kwa kutumia mbao, vipande vya mbao, ngozi, parafujo (yaani screws) n.k.