Familia ya Jakaya Kikwete

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jakaya Kikwete

Familia ya Jakaya Kikwete ni jina la kutaja familia ya Rais wa awamu ya 4 wa Tanzania . Huhesabiwa kama Familia ya Kwanza ya Tanzania.[1]

Familia[hariri | hariri chanzo]

Ndoa[hariri | hariri chanzo]

Kikwete alimwoa Bi. Salma Kikwete mnamo 1989.[2] Hii ni ndoa yake ya pili baada ile ya kwanza ya mamake na Ridhiwani Kikwete.

Watoto[hariri | hariri chanzo]

  • Ridhiwani
  • Salama
  • Miraj
  • Ally
  • Khalifa
  • MwanaAsha
  • Khalfan
  • Rashid
  • Mohamed

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mtobwa, Ben R. (2005). Kikwete: safari ya Ikulu. Page 26, Heko Publishers. Iliwekwa mnamo 16 September 2013.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "President Kikwete celebrates 20th Wedding Anniversary". Ikulu. 31 March 2009. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 September 2013. Iliwekwa mnamo 16 September 2013.  More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)