False Flag

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

False Flag ni filamu ya Nigeria ya mwaka 2017 iliyotayarishwa na kuongozwa na Allwell Ademola[1].

Ploti[hariri | hariri chanzo]

Mwanamume mmoja anakataa kufunga ndoa lakini baadaye anajihusisha kimapenzi na mwanamke ambaye ni muathirika wa ukimwi. Familia yake inachukia mahusiano ya kijana wao na mwanamke huyo na wanataka avunje mahusiano naye[2][3][4].

Wahusika[hariri | hariri chanzo]

  • Gabriel Afolayan
  • Aisha Lawal
  • Wumi Toriola
  • Allwell Ademola

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Video-x-generic.svg Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu False Flag kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.