Nenda kwa yaliyomo

Fackson Kapumbu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fackson Kapumbu (alizaliwa 6 Oktoba, 1990) ni mchezaji wa soka wa timu ya taifa ya Zambia ambaye anacheza katika klabu ya ZESCO United kama beki wa kushoto.

Kazi ya klabu

[hariri | hariri chanzo]

Kapumbu alianza kazi yake mwaka 2010 akiwa na timu ya taifa, kabla ya kusaini Zanaco kwa iliyopo katika Ligi Kuu ya Zambia mwaka 2013.

Kapumbu baadaye alijiunga na klabu ya ZESCO United kabla ya msimu wa Ligi Kuu ya Zambia mwaka 2017.

Mnamo 1 Novemba 2017, Kapumbu alichaguliwa kutwaa Tuzo ya Mchezaji bora wa Afrika katika kombe la Shirikisho la Soka la Afrika.

Kazi ya kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Tarehe 28 Aprili 2013, Kapumbu alicheza kwa mara ya kwanza katika Timu ya taifa ya Zambia kupata ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Zimbabwe.

Mnamo 16 Julai 2017, Kapumbu alifunga bao lake la kwanza katika timu hiyo ya Zambia kwa ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Swaziland.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fackson Kapumbu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.