Eyvind Johnson
Mandhari
Eyvind Johnson (29 Julai 1900 – 25 Agosti 1976) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Sweden. Hasa aliandika riwaya. Mwaka wa 1974, pamoja na Harry Martinson alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Eyvind Johnson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |