Nenda kwa yaliyomo

Harry Martinson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Harry Martinson

Harry Edmund Martinson (6 Mei 190411 Februari 1978) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Sweden. Hasa aliandika riwaya na mashairi. Mwaka wa 1974, pamoja na Eyvind Johnson alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.


Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Harry Martinson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.