Evelyn Amarteifio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dr. Evelyn Mansa Amarteifio
Amezaliwa 1916
Ghana
Amekufa 1997
Nchi Ghana
Kazi yake mratibu wa wanawake

Dr. Evelyn Mansa Amarteifio (1916-1997) alikuwa mratibu wa wanawake wa Ghana. [1] Mnamo 1953 alianzisha Shirikisho la Kitaifa la Wanawake wa Gold Coast (NFGCW).[2]

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Evelyn Amarteifio alizaliwa 22 Mei 1916 mjini Accra. Wazazi wake, dada zake wawili pamoja na baadhi ya shangazi zake walijihusisha na shughuli za kijamii na kazi za kujitolea katika miaka ya 1920 na 1930. Alisoma katika shule ya wasichana ya Accra na chuo kati cha Achimota.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Vieta, Kojo T. (1999). The Flagbearers of Ghana: Profiles of One Hundred Distinguished Ghanaians (in English). Ena Publications. ISBN 978-9988-0-0138-4. 
  2. Sackeyfio-Lenoch, Naaborko (2018-03-01). "Women’s International Alliances in an Emergent Ghana". Journal of West African History (in English) 4 (1): 27–56. ISSN 2327-1868. doi:10.14321/jwestafrihist.4.1.0027. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Evelyn Amarteifio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.