Eunice Musiime

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Eunice Musiime
Amezaliwa
Uganda
Nchi Uganda
Majina mengine Eunice Musiime
Kazi yake Mwanasheria



Eunice Musiime ni mwanasheria wa Uganda na mwanaharakati wa masuala ya wanawake na mtaalamu wa maendeleo ya Jamii. Yeye ndiye Mkurugenzi Mtendaji wa sasa wa Akina Mama wa Afrika (AMwA). [1] Pia ni mwenyekiti wa Shirikisho la Wanasheria Wanawake wa Uganda (FIDA). [2]. Januari, 01, 2005, aliandika ripoti ya kuhusu Kilimo Hai nchini Uganda pamoja na waandishi wengine wawili; Boaz Keizire na Moses Muwanga. [3]

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Musiime ana shahada ya kwanza ya Sheria kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ( Tanzania ) na shahada ya uzamili ya Utawala wa Biashara akisomea uchambuzi wa sera za umma kutoka Chuo Kikuu cha Birmingham . [4] [5] [6] [7]

Kati ya mwaka 2004-2006, Musiime alifanya kazi kama mtafiti Muungano wa Mawakili wa Maendeleo na Mazingira. Alikuwa mkuu wa idara ya sera na utetezi kwenye Chama cha Wanasheria wa Uganda kuanzia mwaka 2006 hadi 2010 na mwenyekiti wa FIDA-Uganda kuanzia 20142016. [8] Kwa sasa Musiime ni Mkurugenzi Mtendaji wa Akina Mama wa Afrika (AMwA). [9]

Makala yaliyoandikwa[hariri | hariri chanzo]

  • Unleashing the Leader Within.[10]
  • Organic Agriculture in Uganda: The Need for a Coherent Policy Framework[11]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Eunice, Mussime. "Eunice Musiime – Executive Director". Akina Mama wa Afrika (AMwA). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-02-25. Iliwekwa mnamo 2022-02-25. 
  2. Musiime, Eunice. "Why FIDA's Eunice Musiime became a feminist". Independent. 
  3. Musiime, Eunicce. "Organic Agriculture in Uganda: The Need for a Coherent Policy Framework". Organic Agriculture in Uganda. 
  4. Mussime, Eunice. "Towards an Equitable and Transformative Continental Free Trade Area: A Heterodox and Feminist Approach--Participants lists". daghammarskjold. 
  5. Mussime, Eunice. "Budgeting for Women's Rights". Care International. 
  6. Musiime, Eunice. "Activists want rape and defilement victims cared for", New vision. 
  7. Mussime, Eunicce. "Slow execution of gender-based violence treaty", New vision. 
  8. Musiime, Eunice. "Why FIDA's Eunice Musiime became a feminist". Independent. Musiime, Eunice.[https://www.independent.co.ug/fidas-eunice-musiime-became-feminist/
  9. Eunice, Mussime. "Eunice Musiime – Executive Director". Akina Mama wa Afrika (AMwA). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-02-25. Iliwekwa mnamo 2022-02-25. Eunice, Mussime. "Eunice Musiime – Executive Director" Archived 25 Februari 2022 at the Wayback Machine.. Akina Mama wa Afrika (AMwA).
  10. Mussime, Eunice. "Unleashing the Leader Within". African Feminism. 
  11. Musiime, Eunicce. "Organic Agriculture in Uganda: The Need for a Coherent Policy Framework". Organic Agriculture in Uganda. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eunice Musiime kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.