Esther Matiko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Esther Matiko (amezaliwa tarehe 24 Novemba 1976) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama pinzani cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Tarime Mjini kwa miaka 2015 - 2020.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Profile: Hon. Esther Nicholus Matiko", Parliament of Tanzania. Retrieved on October 20, 2016.