Nenda kwa yaliyomo

Engrácia Cabenha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Engrácia Francisco Cabenha (alizaliwa mwaka 1949) ni afisa wa kijeshi wa Angola na mwanaharakati wa kupinga ukoloni. Engrácia alikuwa mwanamke pekee kuwa sehemu ya kundi la kimataifa ambapo,mnamo tarehe 4 Februari 1961, walivamia magereza ya kikoloni huko Luanda, na kusababisha Vita vya Uhuru wa Angola.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Engrácia Francisco Cabenha, ambaye pia anajulikana kama "Malkia wa Februari 4" na "Malkia wa Ukombozi", alikuwa na umri wa miaka 12 tu aliposhiriki katika vitendo hivyo vya Februari 4 mwaka 1961, ambavyo vilisababisha uvamizi wa wakoloni huko magereza ya Luanda.[1]

  1. "Antigos guerrillas want special treatment". NovaGazeta. Iliwekwa mnamo 2022-04-11.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Engrácia Cabenha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.