Emilia Clarke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Emilia Clarke

Emilia Clarke Dior
Amezaliwa 23 Oktoba 1986
Kazi yake mwigizaji wa filamu Mwingereza.

Emilia Clarke (alizaliwa London, Uingereza, 23 Oktoba 1986) ni mwigizaji wa filamu Mwingereza.

Alicheza kama Sarah Connor katika filamu ya Terminator Genisys. Pia ni mhusika katika filamu ya Game of Thrones, Clarke anajulikana katika filamu hiyo kama Daenerys Targaryen.

Kwa uigizaji wake alipokea tuzo ya Emmy Award nomination katika mfululizo wa tamthiliya mwaka 2013. Alipokea tena tuzo hiyo mwaka 2015.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emilia Clarke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.