Elvira Herzog

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Elvira Herzog

Elvira Herzog (alizaliwa 5 Machi 2000) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Uswisi ambaye anacheza kama golikipa wa timu ya wanawake ya FC Köln na timu ya taifa ya wanawake ya Uswisi.[1]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Alicheza mechi yake ya kwanza na timu yake ya taifa ya Uswisi mnamo 14 Juni 2019 dhidi ya Serbia, akiwa kama mbadala wa golikipa Nadja Furrer .[2][3][4]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Elvira Herzog. World Football. Iliwekwa mnamo 9 March 2021.
  2. Elvira Herzog. Playmaker Stats. Iliwekwa mnamo 9 March 2021.
  3. Serbia vs Switzerland. Global Sports Archive. Iliwekwa mnamo 9 March 2021.
  4. Elvira Herzog. Global Sports Archive. Iliwekwa mnamo 9 March 2021.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elvira Herzog kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.