Nenda kwa yaliyomo

Elly Marko Macha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elly Marko Macha ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020.

    Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Elly Marko Macha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
    Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.