Elimu ya kujitegemea
Mandhari
Elimu ya kujitegemea ni elimu inayolenga si nadharia au ujuzi tu, bali namna ya kufaidika nayo hata upande wa uchumi kwa kufanya nchi isihitaji kutegemea misaada kutoka nje.
Malengo ya elimu ya kujitegemea
[hariri | hariri chanzo]- Kufanya vijana kuwa na uzalendo kwa taifa lao
- Vijana kujitambua na kuwa majasiri
- Vijana kuwa na bidii katika kazi n.k.
Baada ya Tanzania kupata uhuru
[hariri | hariri chanzo]Tanzania mara ilipopata uhuru mwaka 1961 serikali, chini ya uongozi wa waziri mkuu wa kwanza wa Tanganyika, Julius Nyerere, ilifanya jitihada mbalimbali za kuiokomboa nchi, hususan katika suala la elimu. Mipango mbalimbali iliwekwa, na kilele cha mipango hiyo ilikuwa mwaka 1967 wakati wa Azimio la Arusha.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Elimu ya kujitegemea kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |