Nenda kwa yaliyomo

Edwin Mgante Sannda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Edwin Mgante Sannda ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kondoa Mjini kwa miaka 20152020. [1]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017