Nenda kwa yaliyomo

Edmond Tapsoba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Edmond Fayçal Tapsoba (alizaliwa 2 Februari 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Burkina Faso, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Bayer 04 Leverkusen inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Burkina Faso.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Benjamin Strack-Zimmermann. "Edmond Tapsoba (Player)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edmond Tapsoba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.