Dricky Beukes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Dricky Beukes (29 Disemba 19189 Novemba 1999) alikuwa mwandishi wa riwaya za Kiafrika, hadithi fupi na tamthilia za redio wa Afrika Kusini. Beukes aliandika riwaya zaidi ya mia moja ya Kiafrikana, idadi kubwa ya hadithi fupi na tamthilia nyingi za radio za Kiafrika, Pamoja na vipande kadhaa cha kituo cha biashara cha redio ya springbok. alikufa mnamo mwaka 1999 huko Bellville, magharibi mwa CapeBellville baada ya vita na  saratani ya damu.kuna mtaa wa  Dricky Beukes uliopewa huko kokrus, uchunguzi wa ngozi.

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Hendrika Johanna van Staden alizaliwa kwenye shamba la Seekoebaard huko Prieska, Cape ya kaskazini, 29 Disemba 1918. Alikuwa mdogo kwa Watoto 13.[1] Wakati alipokuwa na miaka mitatu, baba yake alihamisha familia yake kwa Karo, mji mdogo karibu na Mto Gariep huko Upington katika Cape ya kaskazin, ambapo alikulia na kupata elimu ya shue ya mapema. Alihitiu kutoka shule ya juu ya biashara huko Paarl na alianza kaz katika ofisi ya posta ya karosi baada ya kuandika uchunguzi wake wa utumishi  wa umma.[2]

Aliolewa na  Abraham Opperman Beukes wa Mkuu Albert, Cape ya magharibi|Mkuu Albert mnamo tarehe 4 mwez wa 7, 1942. Alikuwa mkuu wa kwanza wa Laerskool Vredelust in Bellville, ambae yeye mwenyewe pia alaindika pia vitatbu vitatu vya watoto. Wapenzi hao walihamia bellville na walipata mtoto wa kiume, Van Staden, na Watoto wawili wakike Brenda and Wilmari. Huko Bellville, Beukes alikuwa mhariri wa gazeti dogo lililoitwa Die Noordwester and a regular contributor to the Oudtshoorn Courant. Baada ya kustaafu, wanandoa hao walikaa huko Tygerberg in Bellville.[3] mume wa beukes alikufa huko Durbanville mnamo mwezi wa 3 Mwaka 1993.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Beukes alikuwa mwandishi aliyefanikiwa na mwenyeji kwenye huduma ya redio ya SABC Springbok. Beukes alipendwa na hadithi zake za mwisho. Ni kifungu ambacho kilipata umaarufu mkubwa wan chi wakati huo ulikuwa kuanzishwa kwake kwa mchezo wakuigiza wa redio Die Indringer (mkosaji): 'n verhaal wat elke moederhart sal roer (hadithi ya kugusa moyo wa kila mama).[3] Die Indringer ilikuwa ni hadith inayomuhusu mwanamke aliyechukua mtoto.[2] Die Indringer ilitangazwa kwa mara ya kwanza 16/5/1960 na ilikuwa kipindi cha siku maarufu kwenye redio ya springbok kwa miaka 11. Hadithi zingine maarufu za redio na Dricky Beukes Pamoja na Skaduwees oor Summerdown, Blinkwater, Die geel karavaan and Dokter Karenien.[1] Beukes alibaki hewani Zaidi ya mlongo mmoja akilifanya jina lake kuwa la watu katika nyumba zinazungumza kiafrika.

Aliandika riwaya yake ya kwanzal, “Madelief”, kwa siku 14 tu na ilichapishwa mnamo mwaka 1945 katika Mama wa nyumbani. Wakati huo alikuwa ana umri wa miaka 18 tu.[2] hadithi iliongozwa na kifo cha mama yake kiichotokea mwaka huo huo .

Beukes alichapisha vitabu vingi katika kiafrika. Mfululizo wa Kamberg : “Kamberg se wêreld” (Kamberg's world), 1982, “Kamberg se mense” (watu wa Kamberg), 1986 and “Kamberg se Kinders” (Watoto wa Kamberg'), 1988, zilikuwa maarufu kati ya wasomaji. Beukes pia aliandika Meetsnoere and Een wat ’n muur afbreek. Hadithi zilionyesha Maisha ya watu huko Karos, ambapo alipotimia utoto wake.

Bibliografia[hariri | hariri chanzo]

 • (1946) uaminifu
 • (1947) Siel, jy het baie goed
 • (1950) Karola
 • (1952) Altyd jou eie, Langs ’n ompad, Ryp vrugte, Verbode paradys
 • (1954) Belydenis, Gebarste mure
 • (1956) Antwoord van ’n geslag
 • (1958) Een bring die offer, Gebaande weë
 • (1960) Uit die verre jare, Wie is my naaste?
 • (1962) Dokter Nelia Eksteen
 • (1964) Die indringer, ’n Seun vir Nebe
 • (1966) Al lê die berge nog so blou, Deur liefde gebind, Die goue gety, Twee paaie, Verlore liefde
 • (1968) Hoe groot die offer, Onbetaalde rekening
 • (1970) Wie die liefde erf, Die wind waai waar hy wil
 • (1972) Een van La Rhone, Ek was die vreemdeling
 • (1974) Alsace en Lorraine, Ek het die wind gejaag, Die groot chirurg, Die jare roep
 • (1976) Liefde van gister
 • (1978) Anderkant die verste ster, Mevrou van Secunda, Nes tussen die sterre, Die smaad van Kroondal, Vaarwel ou Driefonteintjie, Omnibus: Dokter Nella Eksteen, Wie is my naaste, Die hoë muur
 • (1980) Ken jy die vrou – deel 3, ’n Tyd vir stilstaan, Omnibus: Legkaart van die lewe, Moeder se dagboek, Waarmee sal ek versoening doen
 • (1982) En more is nuut, Kamberg se wêreld, Die pad vorentoe, Roep van die Sonskynwoud, Omnibus (En môre is nuut): Die wind waai waar hy wil; Waar die winde, gaan rus het
 • (1984) Alles net vir jou, Antwoord van die nageslag, Velde van offergawes, Waar die grootpad eindig
 • (1986) Kamberg se mense, Die son sal weer skyn
 • (1988) Kamberg se kinders, Die liefde loop ’n ompad

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dricky Beukes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dricky Beukes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.