Donyell Malen
Mandhari
Donyell Malen (alizaliwa 19 Januari 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uholanzi, ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Borussia Dortmund inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Uholanzi.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Donyell Malen | Borussia Dortmund | Player Profile | Bundesliga". bundesliga.com - the official Bundesliga website (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-28.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Donyell Malen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |