Domine Banyankimbona
Mandhari
Domine Banyankimbona | |
---|---|
Alizaliwa | 1970 |
Nchi | Burundi |
Kazi yake | Anaudumu kama waziri wa utumishi wa umma |
Domine Banyankimbona (alizaliwa 1970)[1] anayehudumu kama Waziri wa Utumishi wa Umma kama kazi na ajira katika Jamhuri ya Burundi.[2][3][4]
Elimu
[hariri | hariri chanzo]Banyankimbona alizaliwa mwaka 1970 katika Mkoa wa Bururi. Yeye ni muumini wa Kanisa Katoliki. Banyankimbona alihitimu Shahada ya Kwanza ya Sheria katika Chuo Kikuu cha Hope Nairobi nchini Kenya.[5]
Historia yake ya Kazi
[hariri | hariri chanzo]Banyankimbona amehudumu kama Makamu wa Rais wa moja ya Mahakama ya juu sana nchini Burundi na baadaye akawa Rais na katika Mahakama ya Cassation.[6] Baada ya hapo, akawa Rais wa Mahakama kuu ya nchini humo. Banyankimbona alishika nyadhifa mbalimbali zinazohusiana na taaluma yake[1]. Kabla ya kuwa Waziri wa utumishi wa umma, kazi na ajira aliyeteuliwa na Rais wa Burundi, Evariste Ndayimiyishe.[7][8]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 https://www.presidence.gov.bi/domine-banyankimbona/
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-24. Iliwekwa mnamo 2022-03-12.
- ↑ https://www-capad-info.translate.goog/spip.php?article234&_x_tr_sl=fr&_x_tr_tl=en&_x_tr_hl=en&_x_tr_pto=nui,sc,elem
- ↑ https://www.iwacu-burundi.org/vers-la-validation-de-la-panej/
- ↑ https://www.presidence.gov.bi/domine-banyankimbona/
- ↑ https://www.presidence.gov.bi/?s=cassation
- ↑ https://www.iwacu-burundi.org/vers-la-validation-de-la-panej/
- ↑ https://www.africanews.com/2020/06/29/women-occupy-30-percent-of-burundi-s-new-cabinet/
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Domine Banyankimbona kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |