Nenda kwa yaliyomo

Dilwale (2015)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Dilwale (2015 film))

Dilwale (2015) (maana yake watu wenye moyo wa dhahabu) ni filamu ya Uhindi ya mwaka 2015 yenye mapenzi na ngumi iliyosimamiwa na Rohit Shetty, ilioandikwa na Yunus Sajawal na Sajid-Farhad, imetolewa na Rohit Shetty na Gauri Khan, chini ya Red Chillies Entertainment na Rohit Shetty productions.

Nyota wa filamu hii ni Shah Rukh Khan, Kajol, Varun Dhawan na Kriti Sanon, halafu Johnny Lever na Varun Sharma kwenye sapoti.

Filamu iliachiwa 18 Desemba 2015. Hii inaonyesha ya kwamba ilikuwa filamu ya mwisho ya Vinod Khanna ambaye alifariki tarehe 27 Aprili 2017, muda mfupi baada ya filamu kumalizika.

Dilwale ilizalisha Dola za kimarekani milioni 59 kwa dunia nzima, imekuwa filamu ya pili iliyotamba ambayo Shah Rukh Khan kaigiza ikifuatiwa na Chennai Express, iliyosimamiwa pia na Shetty. Dilwale pia ni filamu iliyotamba ambayo Shah Rukh Khan nje ya bara.Mwimbo "Gerua"pamoja na "janam janam" zilifanya vizuri katika chati.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dilwale (2015) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.