Diego Simeone

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Diego Simeone

Diego Pablo Simeone (alizaliwa 28 Aprili 1970) anajulikana kama mchezaji wa zamani wa soka wa Argentina, ambaye alicheza kama kiungo, na sasa ni meneja wa klabu ya La Liga Atletico Madrid. Simeone mara nyingi amekuwa mwenye mafanikio yake kama mchezaji na meneja.

Simeone alicheza Argentina, Italia na Hispania pia alicheza klabu za Vélez Sarsfield, Pisa, Sevilla, Atlético Madrid, Internazionale, Lazio na Racing Club.

Alishinda Kombe la UEFA akiwa Inter Milan mwaka 1998.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diego Simeone kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.