Nenda kwa yaliyomo

Diego García Carrera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
García kwenye Copa de Europa 2015
García kwenye Copa de Europa 2015

Diego García Carrera (alizaliwa Januari 1996) ni  mtembea mbio wa kiume wa Hispania. Alishindana kutembea kilomita 20 kwenye michuano ya riadha ya Ulaya mwaka 2018 huko Berlin, akashinda medali ya fedha.[1]

Mwaka 2017, alishinda medali ya dhahabu katika kutembea kilomita 20 za wanaume kwenye michuano ya riadha ya Ulaya chini ya miaka 23 iliyofanyika Bydgoszcz, Poland.[2]

Pia ni mshindi wa IAAF Race Walking Challenge,2018.[3]

Mwaka 2019, alishindana kutembea kilomita 20 za wanaume kwenye michuano ya Dunia ya riadha iliyofanyika Doha, Qatar. Alimaliza kwenye nafasi ya 35.[4]

  1. Haywood, D'Weston (2018-10-08), "Walk the Way of Free Men", Let Us Make Men, University of North Carolina Press, ku. 181–227, iliwekwa mnamo 2021-11-27
  2. Salih, Osamah Mohammed (2020-05-25). "The Relationship of Teachers Professional Performance to the Results of Athletics Championships in Middle Schools in Babil Governorate". International Journal of Psychosocial Rehabilitation. 24 (5): 6211–6220. doi:10.37200/ijpr/v24i5/pr2020600. ISSN 1475-7192.
  3. Perez, Anselmo José; Marques, Adilson; Gomes, Kamilla Bolonha (2018-05-15). "Performance analysis of both sex marathon runners ranked by IAAF". Brazilian Journal of Kinanthropometry and Human Performance. 20 (2): 182–189. doi:10.5007/1980-0037.2018v20n2p182. ISSN 1980-0037.
  4. "Companion July 2020: full issue PDF". BSAVA Companion. 2020 (7): 1–43. 2020-07-01. doi:10.22233/20412495.0720.1. ISSN 2041-2487.