Deo Munishi
Mandhari
Deogratius Munishi ,(alizaliwa Mwanza, 16 Agosti 1990) ni mchezaji wa mpira wa miguu anayecheza nafasi ya golikipa katika timu inayoshiriki ligi kuu ya Tanzania ambayo ni Namungo F.C.
Timu alizowahi kuchezea
[hariri | hariri chanzo]Simba S.C. - 2009-2011
Azam F.C. - 2011-2013
Yanga Sc - 2013-
Namungo F.C. - hadi sasa
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Deo Munishi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |