Nenda kwa yaliyomo

Dennis Akumu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dennis Akumu (1934-2016) alikuwa mwanasiasa, mwanaharakati wa vyama vya wafanyakazi na mpigania uhuru wa Kenya. Alikuwa katibu mkuu wa kwanza wa muungano wa vyama vya wafanyakazi Afrika (OATUU).[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Dennis Akumu (1934-2016)". AwaaZ Magazine (kwa Kiingereza (Uingereza)). 13 (2). 30 Novemba 2016. Iliwekwa mnamo 7 Agosti 2017.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dennis Akumu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.