Dell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kampuni ya Dell

Dell ni kampuni binafsi ambayo inatengeneza kompyuta, kompyuta mpakato na vifaa vya kompyuta na kompyuta za mezani. Iliundwa mwaka 1984.

Jina lake linatokana na Michael Dell, Mkurugenzi Mtendaji na mwanzilishi wa kampuni. Dell hutengeza kompyuta kwa ajili ya biashara na watumiaji wa nyumbani, na pia hufanya monita za kompyuta na vichapishi. Walikuwa wakifanya vichezeshaji vya muziki na simu, zinazoitwa DJ Dell, na PDA pia.

Kampuni yao iko huko Round Rock, Texas. Mwaka 2006, waliajiri zaidi ya watu 78,000. Baadhi ya kompyuta zao zina mfumo wa uendeshaji wa Linux.

ThreeCoins.svg Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dell kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.